📌 Overview
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetangaza nafasi 247 za kazi TRC mwaka 2026. Nafasi hizi zinahusu taaluma mbalimbali za uhandisi, ufundi, uendeshaji wa reli na huduma kwa wateja, zikiwa na lengo la kuboresha utendaji na huduma za reli nchini.
📩 Want jobs sent directly to your phone?👉 Subscribe to SMS Job Alerts
📊 Available Positions Summary
Kundi
Nafasi (Summary)
Idadi
Administration & Support
Secretary, Receptionist, ACO
11
Engineering & Technical
Engineers, Technicians, Instructors
26
Artisan & Maintenance
Electrical, Civil, Mechanical, Signal Artisans
171
Operations & Transport
Drivers, Station/Yard Masters, Operators
39
✅ Qualifications (General)
Elimu kulingana na nafasi husika (Certificate, Diploma, Degree)
Ujuzi wa kitaaluma na uzoefu wa kazi (utakuwa faida)
Uwezo wa kufanya kazi katika mazingira ya kitaaluma
Nidhamu, uwajibikaji, na umakini kazini
📥 Application Process
👉 Waombaji wote wanatakiwa kutuma maombi kupitia mfumo rasmi wa Ajira Portal ya Serikali:
⚡ Why Apply?
Fursa ya kufanya kazi katika taasisi kubwa ya Serikali
Kuchangia maendeleo ya miundombinu ya reli nchini
Kujenga taaluma katika sekta ya usafirishaji
✅ Apply mapema kabla ya tarehe ya mwisho ili kuongeza nafasi yako ya kuchaguliwa.